• *Nilikuwa kwa mganga wa jadi,baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini.*
    πŸ˜‚πŸ˜‚
    Comments: 6 Reposts: 0
  • *utafiti unaonyesha wazinzi wanapenda kutumia dole gumba kuchatia*
    Sijataja mtu sitaki povu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
    Comments: 2 Reposts: 0